• HABARI MPYA

  Monday, September 04, 2017

  PROPPER AFUNGA MAWILI, UHOLANZI YAAMSHA MATUMAINI

  Davy Propper akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Uholanzi mabao mawili dakika za saba na 80 jana Uwanja wa Amsterdam ArenA katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bulgaria kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu kombe la Dunia mwakani Urusi. Bao lingine la Uholanzi lilifungwa na Arjen Robben, wakati la Bulgaria limefungwa na Georgi Kostadinov dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PROPPER AFUNGA MAWILI, UHOLANZI YAAMSHA MATUMAINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top