Alvaro Morata (kulia) na N'Golo Kante (kushoto) wakipongezana baada ya wote kuifungia Chelsea katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Leicester City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power. Morata alifunga dakika ya 41 na Kante dakika ya 50, wakati bao la Leicester limefungwa na Jamie Vardy dakika ya 62 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Simba watua Iringa ‘Full’ mzuka
-
WEKUNDU wa Msimbazi Simba wamewasili salama mjini Iringa na mzuka tele
wakitokea Morogoro walikoanza safari mchana wa leo wakiwa na kikosi cha
wachezaji 24...
2 hours ago
0 comments:
Post a Comment