• HABARI MPYA

    Sunday, September 10, 2017

    MESSI AFIKISHA HAT TRCK 38 BARCELONA IKIUA 5-0 LA LIGA

    Gwiji wa Argentina, mshambuliaji Lionel Messi akiifungia bao la kwanza kati ya matatu Barcelona jana Uwanja wa Camp Nou ikiichapa Espanyol 5-0 katika mchezo wa La Liga. Messi alifunga dakika za 25, 36 na 66 kufikisha hat trick 38 Barcelona, wakati mabao mengine yalifungwa na Gerard Pique dakika ya 84 na Luis Suarez dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI AFIKISHA HAT TRCK 38 BARCELONA IKIUA 5-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top