• HABARI MPYA

  Wednesday, September 13, 2017

  MESSI AFANIKIWA KUMFUNGA BUFFON KWA MARA YA KWANZA BARCA YAIPIGA JUVE 3-0

  Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akishangilia baada ya kufanikiwa kumfunga kwa mara ya kwanza kipa mgumu kufungika wa Juventus, Gianluigi Buffon jana Uwanja wa Camp Nou mjini Barcelona katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya, Barca ilishinda 3-0 na Messi alifunga mabao mawili dakika ya 45 na 69 wakati la pili lilifungwa na Ivan Rakitic dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AFANIKIWA KUMFUNGA BUFFON KWA MARA YA KWANZA BARCA YAIPIGA JUVE 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top