• HABARI MPYA

    Thursday, September 07, 2017

    MBAPPE NA NEYMAR WALIPOKUTANA MAZOEZINI PSG JANA

    Wachezaji wapya wa Paris-Saint-Germain, Kylian Mbappe aliyesajiliwa kwa mkopo kutoka Monaco ya Ufaransa pia na Neymar Junior aliyesajiliwa kutoka Barcelona ya Hispania wote wawili usajili wao ukigharimu Pauni Milioni 364 wakisalimiana jana baada ya kukutana kwenye mazoezi ya PSG kwa mara ya kwanza mjini Paris PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBAPPE NA NEYMAR WALIPOKUTANA MAZOEZINI PSG JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top