• HABARI MPYA

  Saturday, September 09, 2017

  MAN CITY YAICHAPA 5-0 LIVERPOOL, MANE ATOLEWA NA NYEKUNDU

  Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester City dakika za 45 na ushei na 53 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo mchana Uwanja wa Etihad. Leroy Sane alitokea benchi kuchukua nafasi ya Jesus dakika ya 57 naye akafunga mabao mawili dakika za 77 na 90 na ushei, wakati bao la kwanza leo lilifungwa na Sergio Aguero dakika ya 24. Liverpool ilimaliza pungufu baada ya Sadio Mane kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 37 baada ya kumgonga usoni kipa wa Man City, Ederson PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA 5-0 LIVERPOOL, MANE ATOLEWA NA NYEKUNDU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top