• HABARI MPYA

  Tuesday, September 12, 2017

  MAJI UHAI YA BAKHRESA NI MDHAMINI MWINGINE SINGIDA UNITED

  Mkurugenzi wa Singida United, Festo Sanga (kulia) akipokea hati ya mkataba wa udhamini wa miaka miwili na kampuni ya Bakhresa Food Products Limited kupitia maji ya Uhai kutoka kwa Meneja Mkuu wa kampuni hiyo, Feisal Sultan Riyami (kushoto) leo makao makuu ya kiwanda hicho, TAZARA mjini Dar es Salaam
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAJI UHAI YA BAKHRESA NI MDHAMINI MWINGINE SINGIDA UNITED Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top