• HABARI MPYA

    Sunday, September 17, 2017

    MAJI MAJI NA YANGA KATIKA PICHA JANA SONGEA

    Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa (kulia) akimtoka beki wa Maji Maji katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Maji Maji mjini Songea timu hizo zikitoka sare ya 1-1
    Mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Hajib (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Maji Maji jana
    Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimiliki mpira mbele ya beki wa Maji Maji 
    Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya akimpita beki wa Maji Maji jana
    Kikosi cha Maji Maji katika mchezo wa jana
    Kikosi cha Yanga katika mchezo wa jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAJI MAJI NA YANGA KATIKA PICHA JANA SONGEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top