• HABARI MPYA

    Wednesday, September 06, 2017

    ITALIA YAIBAMIZA 1-0 ISRAEL, BAO PEKEE LA CIRO IMMOBILE

    Mchezaji mpya wa Chelsea, Davide Zappacosta (kushoto), akimpongeza Ciro Immobile baada ya kuifungia bao pekee Italia dakika ya 53 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Israel usiku wa jana Uwanja wa MAPEI - Citta del Tricolore mjini Reggio nell'Emilia kwenye mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ITALIA YAIBAMIZA 1-0 ISRAEL, BAO PEKEE LA CIRO IMMOBILE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top