• HABARI MPYA

  Sunday, September 03, 2017

  ISCO AGONGA MBILI, HISPANIA YAITANDIKA ITALIA 3-0 KOMBE LA DUNIA

  Nyota wa Real Madrid, Isco akishangilia baada ya kuifungia Hispania mabao mawili dakika za 13 na 40 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Italia kwenye mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi. Bao lingine la Hispania katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid, lilifungwa na Alvaro Morata wa Chelsea dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ISCO AGONGA MBILI, HISPANIA YAITANDIKA ITALIA 3-0 KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top