• HABARI MPYA

  Friday, September 15, 2017

  HAZARD AWAPONEA ARSENAL, KAZI IPO DARAJANI JUMAPILI

  Mshambuliaji Eden Hazard aliyekuwa majeruhi akifanya mazoezi leo na timu yake, Chelsea Uwanja wa mazoezi wa Cobham, London kujiandaa na mchezo wa Jumapili wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Arsenal Uwanja wa Stamford Bridge PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAZARD AWAPONEA ARSENAL, KAZI IPO DARAJANI JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top