• HABARI MPYA

  Friday, September 01, 2017

  COUTINHO AFUNGA LA PILI, BRAZIL YAIANGUSHA ECUADOR 2-0

  Philippe Coutinho akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Brazil bao la pili dakika ya 76 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Ecuador kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi kwa kanda ya Amerika Kusini uliofanyika jana Uwanja wa Arena do Gremio mjini Porto Alegre, Rio Grande do Sul. Bao la kwanza la Brazil lilifungwa na Paulinho dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COUTINHO AFUNGA LA PILI, BRAZIL YAIANGUSHA ECUADOR 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top