• HABARI MPYA

  Wednesday, September 13, 2017

  CAVANNI MAWILI, MBAPE, NEYMAR MOJA MOJA, PSG YAUA 5-0

  Kylian Mbappe (kushoto) na Edinson Cavani (kulia) wakimpongeza mwenzao, Neymar Junior baada ya wote kuifungia PSG bao la kwanza dakika ya 19 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Celtic jana kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Celtic Park mjini Glasgow, Scotland. Mbappe naye alifunga la pili dakika ya 34, Cavani la tatu dakika ya 40 kwa penalti baada ya yeye mwenyewe kuangushwa kwenye boksi na la tano dakika ya 85, wakati bao la nne Mikael Lustig alijifunga dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CAVANNI MAWILI, MBAPE, NEYMAR MOJA MOJA, PSG YAUA 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top