• HABARI MPYA

  Sunday, September 10, 2017

  AZAM FC NA SIMBA SC KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

  Kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Yahya Zayed akienda chini mbele ya mabeki wa Simba, Method Mwanjali na Ally Shomary katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare 0-0
  Winga wa Simba, Shiza Kichuya akijivuta kupiga krosi pembeni ya kiungo wa Azam, Himid Mao 
  Mshambuliaji wa Azam, Mohammed Yahya akienda chini kwenye boksi baada ya kukwatuliwa na beki wa Simba, Salim Mbonde 
  Kiungo wa Simba, Said Nemla akipiga shuti jana Uwanja wa Azam Complex
  Mshambuliaji wa Simba, John Bocco akibinuka tik-tak kakati ya mabeki wa Azam, Aggrey Morris (kushoto) na Yakubu Mohammed (kulia)
  Winga wa Azam, Ennock Atta Agyei akimtoka beki wa Simba, Erasto Nyoni 
  Mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yussuf akimtoka Shiza Kichuya wa Simba
  Ramadhani Singano 'Messi' wa Azam akimuacha chini Method Mwanjali wa Simba
  Kikosi cha Azam FC katika mchezo wa jana
  Kikosi cha Simba SC katika mchezo wa jana
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA SIMBA SC KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top