• HABARI MPYA

    Tuesday, September 12, 2017

    ANDRE AYEW ATOKEA BENCHI NA KUIPA USHINDI WA 2-0 WEST HAM

    Mshambuliaji Andre Ayew akiifungia West Ham bao la pili dakika ya 77 baada ya awali kumsetia Pedro Obiang kufunga bao la kwanza dakika ya 72 katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa London. Ayew, mtoto wa Mwanasoka Bora wa zamani Afrika, Mghana Abedi Pele alitokea benchi kwenye mchezo huo dakika ya 64 kuchukua nafasi ya Javier Hernandez 64 'Chicharito' PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ANDRE AYEW ATOKEA BENCHI NA KUIPA USHINDI WA 2-0 WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top