• HABARI MPYA

  Saturday, September 16, 2017

  AGUERO APIGA HAT TRICK MAN CITY YASHINDA 6-0 UGENINI

  Sergio Aguero akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za 27, 31 na 81 Manchester City ikishinda 6-0 dhidi ya wenyeji Watford Uwanja wa Vicarage Road leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya City yamefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 37, Nicolas Otamendi dakika ya 63 na Raheem Sterling dakika ya 89 kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AGUERO APIGA HAT TRICK MAN CITY YASHINDA 6-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top