• HABARI MPYA

  Thursday, August 17, 2017

  SIMON MSUVA AKOSA BAO LA WAZI, DIFAA YATOA SARE 1-1 MOROCCO

  Winga wa Difaa Hassan El-Jadida, Simon Msuva (kulia) akikosa bao la wazi akiwa amebaki na kipa katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Renaissance Sportive de Berkane jana Uwanja wa El Abdi mjini Jadida, Morocco timu hizo zikitoka sare ya 1-1 
  Simon Msuva ameendelea kufanya vizuri katika timu yake mpya aliyojiunga nayo akitokea Yanga ya Tanzania
  Simon Msuva akipoga hesabu kabla ya kutia krosi 

  Simon Msuva akimiliki mpira uwanjani jana katika mchezo huo wa kwanza baada ya kurejea ziara ya Hispania kwenye maandalizi ya msimu mpya 

  Simon Msiuva (wa kwanza kushoto mbele) katika kikosi cha kwanza cha Difaa Hassan El-Jadida jana
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMON MSUVA AKOSA BAO LA WAZI, DIFAA YATOA SARE 1-1 MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top