• HABARI MPYA

  Monday, August 14, 2017

  NEYMAR AANZA VYEMA UFARANSA, AFUNGA NA KUTOA PASI YA BAO

  Mshambuliaji Mbrazil, Neymar akiwa amempanda mgongoni mchezaji mwenzake, Edinson Cavani kufurahia baada ya wote kufunga katika ushindi wa Paris Saint-Germain wa 3-0 dhidi ya wenyeji Guingamp 3-0 kwenye mchezo wa Ligue 1 Ufaransa jana Uwanja wa Roudourou mjini Guingamp. Neymar alitoa pasi ya bao pili lililofungwa na Cavani dakika ya 62, kabla ya yeye mwenye kufunga bao lake la kwanza PSG dakika ya 82 katika mechi hiyo ya kwanza kwake baada ya kusajiliwa kwa dau la rekodi ya dunia Pauni 198 kutoka Barcelona ya Hispania, huku beki Mkongo, Jordan Ikoko akijifunga dakika ya 52 kuwapa bao la kwanza wapinzani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR AANZA VYEMA UFARANSA, AFUNGA NA KUTOA PASI YA BAO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top