• HABARI MPYA

    Monday, August 21, 2017

    MESSI AIONGOZA BARCELONA KUSHINDA 2-0 NYUMBANI LA LIGA

    Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akipasua katikati ya mabeki wa Real Betis, Alex Alegria (kushoto) na Mcolombian Juan Narvaez usiku wa Jumapili katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Barcelona ilishinda 2-0 mabao ya Gerard Deulofeu aliyejifunga baada ya kubabatizwa na mpira uliopigwa na Alin Tosca dakika ya 36 na Sergi Roberto dakika ya 39 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI AIONGOZA BARCELONA KUSHINDA 2-0 NYUMBANI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top