• HABARI MPYA

    Saturday, August 19, 2017

    MANE AING'ARISHA LIVERPOOL, YASHINDA 1-0 ANFIELD

    Sadio Mane akiifungia Liverpool bao pekee la ushindi dakika ya 73 ikiilaza Crystal Palace 1-0 leo Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MANE AING'ARISHA LIVERPOOL, YASHINDA 1-0 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top