• HABARI MPYA

    Friday, August 18, 2017

    EVERTON YASHINDA 2-0 MECHI YA KWANZA KUFUZU LIGI YA ULAYA

    Idrissa Gueye akiteleza kuifungia bao la pili Everton dakika ya 45 baada ya kazi nzuri ya Wayne Rooney katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Hajduk Split kwenye mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kucheza michuano ya Ligi ya Ulaya usikiu wa jana Uwanja wa Goodison Park. Bao la kwanza la Toffees lilifungwa na Michael Keane dakika ya 30 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: EVERTON YASHINDA 2-0 MECHI YA KWANZA KUFUZU LIGI YA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top