• HABARI MPYA

    Sunday, August 13, 2017

    AGUERO ANG'ARA MAN CITY IKISHINDA 2-0 UGENINI

    Mshambuliaji Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Manchester City dakika ya 70 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Brighton Uwanja wa Amex usiku wa jana. Bao la pili lilifungwa na  Lewis Dunk aliyejifunga dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AGUERO ANG'ARA MAN CITY IKISHINDA 2-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top