• HABARI MPYA

    Friday, July 07, 2017

    WACHEZAJI YANGA WALIVYOPIMWA AFYA LEO TAIFA

    Daktari akimpima kiungo wa Yanga, Said Juma 'Makapu' huku, beki Mwinyi Hajji Mngwali akisubiri leo asubuhi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaaam katika zoezi la klabu hiyo kuwapima afya wachezaji wake kabla ya kuanza maandalizi ya msimu mpya
    Dk. Edward Bavu akimpima mshambuliaji Mrundi, Amissi Tambwe
    Dk. Nassor Matuzya akimpima beki wa kulia, Juma Abdul 
    Beki mpya wa kati, Abdallah Haji 'Ninja' kutoka Zanzibar akipimwa urefu
    Beki mwingine wa kati, Andrew Vincent 'Dante' naye alihudhuria zoezi hilo la upimaji afya 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WACHEZAJI YANGA WALIVYOPIMWA AFYA LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top