• HABARI MPYA

    Saturday, July 08, 2017

    TAIFA STARS NA LESOTHO KATIKA PICHA JANA MORULENG

    Nahodha wa Tanzania, Himid Mao akimtoka mchezaji wa Lesotho, Tumelo Khutlang (kulia) katika mchezo wa kuwania nafasi ya tatu Kombe la COSAFA Castle jana Uwanja wa Moruleng mjini Rusternburg, Afrika Kusini. Tanzania ilishinda kwa penalti 4-2 baada ya sare ta 0-0 ndani ya dakika 90 
     Beki wa Tanzania, Salim Mbonde (kulia) akimdhibiti mchezaji wa Lesotho, Sera Motebang
    Tumelo Khutlang wa Lesotho akimtoka Salmin Hozza wa Tanzania jana 
    Napo Matsoso wa Lesotho akitafuta maarifa ya kupasua katikati ya wachezaji wa Tanzania
    Tsoanelo Koetle wa Lesotho akimtoka Muzamil Yassin wa Tanzania 
    Tsoanelo Koetle katikati ya Salmin Hoza na Salim Mbonde
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS NA LESOTHO KATIKA PICHA JANA MORULENG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top