• HABARI MPYA

    Thursday, July 06, 2017

    TAIFA STARS NA CHIPOLOPOLO JANA KATIKA PICHA 'SAUZI'

    Winga wa Tanzania, Simon Msuva akimtoka beki wa Zambia, Adrian Chama jana katika mchezo wa Nusu Fainali Kombe la COSAFA Castle Uwanja wa Moruleng mjini Rusternburg, Afrika Kusini. Zambia inayojulikana kwa jina la utani Chipolopolo iliifunga Taifa Stars 4-2  
    Nahodha na kiungo wa Tanzania, Himid Mao akimuacha kiungo wa Zambia jana
    Kiungo wa Tanzania, Muzamil Yassin akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Zambia, Donashano Malama 
    Beki wa Zambia, Lawrence Chungu akiwa hewani kuokoa kwa kichwa dhidi ya winga wa Tanzania, Shiza Kichuya 
    Donashano Malama wa Zambia akiwa juu kugombea mpira na mshambuliaji wa Tanzania, Elias Maguri
    Elias Maguri wa Tanzania (kushoto) akiwania mpira na Isaac Shamujompa wa Zambia jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS NA CHIPOLOPOLO JANA KATIKA PICHA 'SAUZI' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top