• HABARI MPYA

  Monday, July 03, 2017

  SINGIDA UNITED WAZINDUA BASI LAO LA MILIONI 300 LEO

  Singida United Football Club imetambulisha basi lake binafsi jipya aina ya Golden Dragon T 548 DKQ watakalokuwa wanatumia kwa safari zake mbalimbali za soka nje na ndani ya nchi. 
  Uongozi wa Singida United imesema kwamba thamani ya basi hilo zaidi ya Sh. Milioni 300
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SINGIDA UNITED WAZINDUA BASI LAO LA MILIONI 300 LEO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top