• HABARI MPYA

    Friday, July 07, 2017

    SAMATTA AFURAHIA KUTEULIWA BALOZI WA 'MAALBINO' TANZANIA

    Nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta ameposti picha hii katika akaunti yake Instagram sambamba na maelezo; "Nina furaha mno kuwa Balozo wa watu wenye ulemavui wa ngozi Tanzania. Nipo tayari kuwalinda na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.#Mimi ninawathamini na kuwalinda, wewe je?
    Ameposti pia cheti hiki cha uteuzi wake huo kutoka cha Watu wenye Ulemavu wa Ngozi, maarufu kama Maalbino
    Na kuna picha hii tena, ambayo maelezo yake ni; "HAINA KUFELI"
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA AFURAHIA KUTEULIWA BALOZI WA 'MAALBINO' TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top