• HABARI MPYA

  Wednesday, July 12, 2017

  ROONEY NA EVERTON 'WALIVYOKAMUA' TAIFA LEO

  Mshambuliaji mpya wa Everton, Wayne Rooney (katikati) akiwa mazoezini na wenzake leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Gor Mahia ya Kenya kesho 
  Rooney alikuwa kivutio kwenye mazoezi ya Everton leo Uwanja wa Taifa 
  Wayne Rooney amerejea Everton mwishoni mwa wiki baada ya kuondoka miaka 13 iliyopita kuhamia Manchester United mwaka 2004
  Popote alipopita leo Wayne Rooney leo kuanzia wakati anawasili Uwanja wa Ndege alikuwa kivutio
  Hapa Rooney anawaongoza wachezaji wa Everton kuingia Uwanja wa Taifa 
  Wachezaji wa Everton wakifanya mazoezi leo Uwanja wa Taifa
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROONEY NA EVERTON 'WALIVYOKAMUA' TAIFA LEO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top