• HABARI MPYA

    Thursday, July 13, 2017

    RONALDO NA FAMILIA YAKE, MTU WA RAHA NI RAHA RAHA TU!

    Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo (juu kabisa) ameposti picha hii Instagram akiwa na familia yake, mpenzi wake Georgina Rodriguez (katikati kushoto), mama yake, Dolores (kushoto) na mwanawe mkubwa Cristiano Ronaldo Jr pamoja na wale pacha wadogo waliozaliwa mwezi uliopita wakiwa wamepakatwa 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO NA FAMILIA YAKE, MTU WA RAHA NI RAHA RAHA TU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top