• HABARI MPYA

    Monday, July 10, 2017

    ROBERTO CARLOS SASA NI BABA WA WATOTO TISA

    Roberto Carlos akiwa na mkewe, Mariana baada ya kujifungua mtoto wa pili kwenye mahusiano yao mwishoni mwa wiki waliyempa jina Marina. Huyo anakuwa mtoto wa tisa beki huyo wa zamani wa kimataifa wa Brazil na klabu ya Real Madrid, kwani amezaa watoto saba na wanawake wengine kabla ya Mariana PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROBERTO CARLOS SASA NI BABA WA WATOTO TISA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top