• HABARI MPYA

  Monday, July 03, 2017

  RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MECHI YA DARAJA LA NNE LEO NYAMAGANA, MWANZA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli (kulia) akisalimiana na wachezaji wa timu ya Buhongwa kabla ya mchezo wa Ligi Daraja la Nne dhidi ya Nyamwaga FC jioni ya leo Uwanja wa Nyamagana, Mwanza
  Rais Magufuli hapa akisalimiana na wachezaji wa akiba wa timu ya Nyamwaga FC
  Rais Magufuli leo Uwanja wa Nyamagana kabla ya mchezo kati ya Buhongwa na  Nyamwaga FC
  Rais Magufuli leo Uwanja wa Nyamagana akisalimiana na wachezaji wa Nyamwaga FC
  Rais Magufuli leo Uwanja wa Nyamagana kabla ya mchezo kati ya Buhongwa na  Nyamwaga FC 
  Rais Magufuli akizungumza na Mkuu wa Mwanza, John Mongella leo Uwanja wa Nyamagana kabla ya mchezo kati ya Buhongwa na  Nyamwaga FC
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS MAGUFULI AHUDHURIA MECHI YA DARAJA LA NNE LEO NYAMAGANA, MWANZA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top