• HABARI MPYA

    Saturday, July 08, 2017

    PROFESA JAY 'ALIVYOJIHALALISHIA' GRACE WAKE LEO ST. PETER'S

    Msanii nguli wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule 'Profesa Jay' ambaye pia ni mbuge wa jimbo la Mikumi, Morogoro akiwa na mkewe, Grace Mgonjo wakionyesha vyeti vyao mara baada ya kufunga ndoa katika kanisa la St. Peter's mjini Dar es Salaam. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PROFESA JAY 'ALIVYOJIHALALISHIA' GRACE WAKE LEO ST. PETER'S Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top