• HABARI MPYA

    Friday, July 07, 2017

    POGBA NA LUKAKU WAJIFUA PAMOJA MAREKANI

    Paul Pogba akifanya mazoezi na mchezaji mpya anayetarajiwa kusajiliwa Manchester United, Paul Pogba mjini  Los Angeles, Marekani kujiandaa na msimu mpya. Wawili hao wote wapo chini ya wakala maarufu, Mino Raiola japokuwa Mbelgiji Lukaku kwa sasa anachezea Everton na Pogba yupo Man United PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: POGBA NA LUKAKU WAJIFUA PAMOJA MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top