• HABARI MPYA

    Tuesday, July 11, 2017

    MFUNGAJI BORA, BAO BORA RWANDA WAWASILI KUANZA KAZI SINGIDA UNITED

    Mkurugenzi wa Singida United, Sanga Festo (kushoto) akimkabidhi jezi ya timu hiyo mshmabuliaji mpya, Danny Usengimana kutoka Polisi ya Rwanda ambako ametoka kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Azam Rwanda kwa misimu miwili mfululizo

    Mchezaji mpya beki, Michael Rusheshangoga akiwa ameshika jezi ya Singida United leo baada ya wote kuwasili tayari kuanza kazi kwa mwajiri mpya kutoka APR ya Rwanda. Kila mmoja amesaini mkataba wa miaka miwili

    Michael Rusheshangoga (kushoto) ni mshindi wa tuzo ya Bao Bora la msimu uliomalizika wa Ligi Kuu ya Azam Rwanda na wote wawili sasa wanakwenda moja kwa moja kuungana na wenzao walipo kambini mjini Mwanza.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MFUNGAJI BORA, BAO BORA RWANDA WAWASILI KUANZA KAZI SINGIDA UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top