• HABARI MPYA

    Thursday, July 06, 2017

    ROMELU LUKAKU SASA NI 'SHETANI MWEKUNDU' MTARAJIWA

    Wakati wowote Manchester United itatangaza kumsajili mshambuliaji Romelu Lukaku kwa ada ya Pauni Milioni 75 baada ya kufikia makubaliano na klabu yake, Everton. Na hivi ni ndivyo atakavyoonekana katika jezi mpya ya klabu hiyo kwa ajili ya msimu wa 2017-18 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROMELU LUKAKU SASA NI 'SHETANI MWEKUNDU' MTARAJIWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top