• HABARI MPYA

  Wednesday, July 05, 2017

  LACAZETTE NI MCHEZAJI MPYA WA ARSENAL KWA DAU LA REKODI

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa, Alexandre Lacazette akifurahia na kocha wake mpya, Arsene Wenger wakati wa kusaini mkataba wa miaka mitano kujiunga na Arsenal kwa dau la rekodi, Pauni Milioni 53 kutoka Lyon ya Ufaransa leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LACAZETTE NI MCHEZAJI MPYA WA ARSENAL KWA DAU LA REKODI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top