• HABARI MPYA

  Thursday, July 13, 2017

  LACAZETTE AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO ARSENAL IKISHINDA 2-0

  Alexandre Lacazette akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia timu yake mpya, Arsenal bao la pili dakika ya 83 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Sydney FC kwenye mchezo wa kirafiki mchana wa leo Uwanja wa ANZ mjini Sydney, Australia. Bao la kwanza lilifungwa na Per Mertesacker dakika ya nne tu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LACAZETTE AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO ARSENAL IKISHINDA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top