• HABARI MPYA

    Tuesday, July 11, 2017

    KYLIAN MBAPPE SI HUYU HAPA KWENYE MAZOEZINI YA MONACO

    Mshambuliaji Kylian Mbappe akifurahia mazoezini na timu yake, Monaco jana baada ya kurejea kwa maandalizi ya msimu mpya licha ya tetesi za kuwa mbioni kujiunga na Real Madrid kwa dau la Pauni Milioni 100 za rekodi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KYLIAN MBAPPE SI HUYU HAPA KWENYE MAZOEZINI YA MONACO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top