• HABARI MPYA

  Monday, July 03, 2017

  KING CLASS ALIVYOWASILI NA TAJI LAKE LA GBC LEO DAR

  Bondia Ibrahim ‘King Class’ Mgender akitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) huku ameinua mkanda wake wa GBC baada ya kuwasili nchini akitokea Ujerumani, ambako Jumamosi alimshinda kwa pointi Jose Forero na kutwaa taji hilo uzito wa Light 
  Ibrahim ‘King Class’ Mgender akiwa na ndugu, jamaa na marafiki waliojitokeza kumpokea leo baada yaa kazi nzuri usiku wa juzi 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KING CLASS ALIVYOWASILI NA TAJI LAKE LA GBC LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top