• HABARI MPYA

    Thursday, July 13, 2017

    'KACHAA' ALIYEMVAGAA ROONEY UWANJANI LEO 'KINOMA NOMA' AISHIA MIKONONI MWA POLISI

    Shabiki wa Manchester United akiwa amemvaa mshambuliaji wa Everton ya England, Wayne Rooney uwanjani katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Gor Mahia ya Kenya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kabla ya kuondolewa na Polisi. Everton imeshinda 2-1 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: 'KACHAA' ALIYEMVAGAA ROONEY UWANJANI LEO 'KINOMA NOMA' AISHIA MIKONONI MWA POLISI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top