• HABARI MPYA

    Monday, July 10, 2017

    HAJIB ALIPOFANYIWA VIPIMO VYA AFYA LEO YANGA

    Daktari wa tiba za Wanamichezo, Nassor Matuzya (kushoto) akimfanyia vipimo vya afya mshambuliaji mpya wa Yanga, Ibrahim Hajib Migomba leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 
    Hajib hakutokea katika kundi la awali la wachezaji wa Yanga kufanyiwa vipimo kabla ya kuanza maandalizi ya msimu mpya
    Dk. Matuzya hapa anampima kiungo wa timu, Eammanuel Martin
    Dk Matuzya hapa anampima kiungo mwingine wa timu hiyo, Geoffrey Mwashiuya 
    Hapa Dk. Matuzya anazungumza na Nahodha wa timu hiyo, Nadir Haroub 'Cannavaro'
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAJIB ALIPOFANYIWA VIPIMO VYA AFYA LEO YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top