• HABARI MPYA

    Tuesday, July 11, 2017

    GUU LA LUKAKU, MATA HOI! JAMAA ANAVAA KIATU NAMBA 13

    Juan Mata amemkaribisha mchezaji mwenzake mpya, Romelu Lukaku kwa kuonyesha viatu vikubwa vya mchezaji kutokana na mguu wake mkubwa anavaa namba 13. Mshambuliaji huyo Mbelgiji amejiunga na Manchester United kwa dau la rekodi, Pauni Milioni 75 kutoka Everton na atakuwa anavaa jezi namba 9 iliyoachwa wazi na Zlatan Ibrahimovic PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GUU LA LUKAKU, MATA HOI! JAMAA ANAVAA KIATU NAMBA 13 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top