• HABARI MPYA

    Wednesday, July 12, 2017

    DANI ALAVES ATUA PSG KWA 'MSHAHARA WA HATARI'

    Beki Mbrazil, Dani Alves akiwa ameshika jezi namba 32 ya PSG ya Ufaransa mjini Paris leo wakati wa kukabidhiwa kufuatia kukamilisha uhamisho wake kama mchezaji huru kutoka Juventus ya Italia kwa mshahara wa Pauni  £230,000 kwa wiki, sawa na Pauni Milioni 12 kwa mwaka. Awali, Alaves alitarajiwa kuungana na kocha wake wa zamani wa Barcelona ya Hispania, Pep Guardiola klabu ya Manchester City ya England, lakini dau zuri limembadili njia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DANI ALAVES ATUA PSG KWA 'MSHAHARA WA HATARI' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top