• HABARI MPYA

    Tuesday, June 13, 2017

    WAZEE WA KIPYENGA...USIWAKOSE KESHO SAA 1:00 AZAM SPORTS HD

    Kulia ni Mussa Kawambwa na refa wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Osman Kazi (kushoto) wanaofanya kipindi cha Kipyenga, kinachozidi kujipatia umaarufu nchini kutokaa na kufichua mambo mengi ambayo watu huwa hawayaoni wakati wa michezo mbalimbali 
    Kesho tena kuanzia Saa 1:00 usiku, Mussa kawambwa na Osman Kazi watakuwa mubashara ndani ya Azam Sports HD katika Kipyenga. Vipo vitu vya kukosa, lakini Kipyenga 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAZEE WA KIPYENGA...USIWAKOSE KESHO SAA 1:00 AZAM SPORTS HD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top