• HABARI MPYA

    Sunday, June 11, 2017

    TAIFA STARS NA MAMBA WA LESOTHO KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

    Mshambuliaji chipukizi wa Tanzania, Mbaraka Yussuf akimiliki mpira mbele ya beki wa Lesotho, Thsoanelo Koetle katika mchezo wa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2019 nchini Cameroon uliofanyika usiku wa jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 1-1
    Beki wa Lesotho 'Mamba', Thsoanelo Koetle akiondoka na mpira dhidi ya Nahodhawa Tanzania, Mbwana Samatta
    Mshambuliaji wa Tanzania, Thomas Ulimwengu akipasua katikati ya wachezaji wa Lesotho
    Kiungo wa Taifa Stars, Muzamil Yassin akimiliki mpira pembeni ya beki anayejituma wa Lesotho, Thsoanelo Koetle
    Winga wa Tanzania, Shizza Kichuya akiwatoka wachezaji wa Lesotho
    Winga wa Tanzania, Farid Mussa (kuia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Lesotho
    Mshambuliaji wa Tanzania, Mbaraka Yussuf akimuacha chini Mabuti Potloane wa Lesotho jana
    Jane Thaba-Ntso wa Lesotho (kulia) akiudhibiti mpira dhidi ya Shomary Kapombe wa Taifa Stars
    Kikosi cha Taifa Stars katika mchezo wa jana Uwanja wa Azam na chini ni kikosi cha Lesotho

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS NA MAMBA WA LESOTHO KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top