• HABARI MPYA

  Saturday, June 10, 2017

  SWEDEN WAIPIGA 2-1 UFARANSA FRIENDS ARENA

  Ola Toivonen akishangilia na wachezaji wenzake wa Sweden baada ya kufunga bao la ushindi dhidi ya Ufaransa dakika ya 90 na ushei Uwanja wa Friends Arena mjini Solna katika mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia. Olivier Giroud alianza kuifungia Ufaransa dakika ya 37, kabla ya Jimmy Durmaz kuisawazishia Sweden dakika ya 43 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SWEDEN WAIPIGA 2-1 UFARANSA FRIENDS ARENA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top