• HABARI MPYA

  Sunday, June 04, 2017

  SIR FERGUSON ALIPATA FURSA YA KUMPONGEZA KIJANA WAKE

  Sir Alex Ferguson akimpongeza mchezaji wake wa zamani Manchester United, Cristiano Ronaldo baada ya kuisaidia Real Madrid kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Juventus yeye akifunga mawili Uwanja wa Millennium mjini Cardiff, Wales 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIR FERGUSON ALIPATA FURSA YA KUMPONGEZA KIJANA WAKE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top