• HABARI MPYA

    Wednesday, June 07, 2017

    SIMBA NA NAKURU ALL STARS KATIKA PICHA JANA UHURU

    Kiungo wa Simba, Bakari Masoud akijaribu kupita katikati ya wachezaji wa Nakuru All Stars katika mchezo wa michuano ya SportPesa Super Cup jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Nakuru ilishinda kwa penalti 5-4 baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 
    Beki wa Nakuru All Stars, Sadick James Amakanji (kushoto) akimiliki mpira pembeni ya mshambuliaji wa Simba, Frederick Blagnon
    Kiungo wa Simba, Mohammed 'Mo' Ibrahim (kulia) akipiga kasi kumpita beki wa Nakuru All Stars, Siwa Omondi 
    Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto akimtoka kwa kasi Siwa Omondi wa Nakuru All Stars
    Beki wa Simba, Jamal Mwambeleko (kulia) akivuta mguu kupiga mpira pembeni ya mchezaji wa Nakuru All Stars
    Mshambuliaji wa Simba, Juma Luizio akimtoka mchezaji wa Nakuru All Stars
    Kikosi cha Simba Uwanja wa Uhuru na chini ni kikosi cha Nakuru All Stars 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA NA NAKURU ALL STARS KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top