• HABARI MPYA

    Sunday, June 04, 2017

    SHUJAA RONALDO ALIVYOPEWA HESHIMA YAKE JANA WALES

    Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo mwenye umri wa miaka 32 akiwa amebebwa juu na wenzake baada ya mchango mkubwa katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Juventus usiku wa jana Uwanja wa Millennium mjini Cardiff akiisaidia timu yake kubeba taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SHUJAA RONALDO ALIVYOPEWA HESHIMA YAKE JANA WALES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top