• HABARI MPYA

    Monday, June 12, 2017

    'RONALDO ORIJINO' ALIVYOKINUKISHA MECHI YA MAGWIJI JANA MADRID

    Mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid, Ronaldo Lima mwenye umri wa miaka 40 sasa aakimtoka mchezaji wa AS Roma ya Italia katika mechi ya magwiji wa timu hizo jana Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid, Hispania. Real walishinda 4-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: 'RONALDO ORIJINO' ALIVYOKINUKISHA MECHI YA MAGWIJI JANA MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top